Tazara Mbeya SACCOS

Chama kina Jumla ya Mtaji wa Tshs 4.5Bilioni ikiwa Hisa za Wanachama ni zimefikia thamani ya Tshs 680Milion na Akiba na Amana za Wanachama ni Tshs 3.8Bilioni.

Huduma kuu itolewayo na Chama Chetu ni kuweka Akiba za Wanachama na kutoa Mikopo kwa riba naafuu na endelevu pia kupokea na kutoa Amana za Wanachama na Wananchi waliopo karibu na maeneo ambayo Chama kinatoa huduma zake.

Tazara Mbeya Saccos Ltd sasa inatoa huduma za uwakala wa Mitandao ya Simu kama M-PESA, TIGO-PESA, AIRTELL MONEY, HALLO PESA na Uwakala wa Mabenki mbalimbali kama vile NMB, CRDB na EQUITY Benki.

Simu1: 0757290618
Simu2: 0789962031
Simu3: 0764530016
Simu4: 0752456494

Email us @: info@tazarambeyasaccos.com

S. L. P 4155, Mbeya, Tanzania.

Website: www.tazarambeyasaccos.com

% HISA
% AKIBA
% AMANA
% MKOPO

Uzoefu na Mafanikio ya Tazara Mbeya SACCOS

Chama cha Ushirka wa Akiba na Mikopo cha Tazara Mbeya kilianzishwa Mwaka 1992 kikiwa na Wanachama waanzilishi 123 na Mtaji wa Tshs 600,000/=. Kilipata Usajiri rasmi 20.10.1994.

Nambari ya kuandikishwa ni MBR 349. Hadi sasa chama kina Jumla ya Wanachama 1300 ambapo Wanaume ni 1000 na Wanawake 275 na Vikundi vya Wajasiriamali 25.

Idadi ya Wanachama imeendeleo kuongezeka siku hadi siku pia Wateja wanaofungua akaunti za Amana (Current Account) wamefikia 2000. Akaunti za Amana zinazofunguliwa katika Chama chetu hazina Makato ya kila Mwezi hivyo huwasaidia sana Wajasiliamali Wadogo, Vikundi/Vikoba, Wafanyakazi na Wananchi kwa Ujumla.

Uzoefu na Mafanikio ya Tazara Mbeya SACCOS

Chama kina Jumla ya Mtaji wa Tshs 4.5Bilioni ikiwa Hisa za Wanachama ni zimefikia thamani ya Tshs 680Milion na Akiba na Amana za Wanachama ni Tshs 3.8Bilioni.

Wasiliana nasi, kwa kuacha ujumbe

Taarifa Mpya

Picha Zetu

Template
Template
Template
Template
Template