HUDUMA ZA WAKALA

Tazara Mbeya SACCOS inalenga kusogeza karibu Huduma bora za kibenki na uwakala wa Fedha Mtandao kwa Wanachama wake na Wananchi wote wa eneo la Iyunga. Lengo kubwa ni kuwapunguzia adha ya kupanda dala dala kufuata huduma za kibenki mbali na nyumbani kwenu.

Karibu TAZARA Mbeya SACCOS upate huduma bora za uwakala wa Fedha Mtandao. Sisi ni wakala wa benki zifuatazo:-

• CRDB

• NMB

• EQUITY

Pia ni wakala wa Mitandao ya:-

• Vodacom

• tiGO

• Halotel

• Airtel

Huduma zitolewazo ni pamoja na:

• Kutuma Fedha

• Kutoa Fedha

• Kulipa Ada za Shule

• Kulipa Kodi mbali mbali za Serikali

• Kununua Vifurushi vya Simu na Data

• Kulipia Ving’amuzi

• Kununua Luku